Kupitia eneo hili Jamii itapata wasaa wa kujadiliana masuala mbalimbali ya Afya, kuondoa dukuduku, kuuliza maswali ili kupata uelewa kutoka kwa wataalamu wa afya.
Kupitia eneo hili Wataalamu wa Afya watapata wasaha wa kubadilishana uzoefu, kujadiliana, na kutatua changamoto mbalimbali katika kuihudumia Jamii pamoja na masuala mengine mutambuka ndani ya Sekta ya Afya.