Waratibu
Jukwaa hili limesheheni kozi mbalimbali zinazolenga kutoa ujuzi wa uelimishaji afya kwa waratibu. Hivyo kama mratibu ukiingia katika jukwaa hili maalumu litakusaidia kuongeza ujuzi wako kuhusu uelimishaji, uhamasishaji na ushirikishaji jamii masuala ya Afya.