Utangulizi
Ki-muundo wa Wizara ya Afya; Kitengo kipo chini ya Idara ya Kinga kikitekeleza malengo yaliyoainishwa na Wizara. Ili kufikia lengo la kuchangia ustawi wa Taifa kupitia Elimu bora ya Afya kwa Umma, Kitengo kinaongozwa na Dira na Makusudio yanayowezesha utekelezaji wa majukumu hayo.