Wizara ya Afya

JUKWAA LA KIDIJITALI LA ELIMU YA AFYA KWA UMMA

Afya Yangu, Mtaji Wangu

Wizara ya Afya

Sheria na Masharti

Kwa kuzingatia matumizi ya Jukwaa hili, uhusiano baina ya Mtumiaji na Wizara vitafuata masharti ya mteja na mtoa huduma na mara nyingine mtumiaji atarazimika kufanya usajili ili kupata huduma. Maudhui ndani ya Jukwaa hili yatahusisha matumizi bila uchangiaji na uchangiaji kwa baadhi ya maeneo ili kuwezesha uendeshaji wa shughuli za Uelimishaji Umma kwa Jamii. Maudhui na hakimiliki ya ya Jukwaa itabaki kuwa halali ya Wizara husika.

Edit Page

WASILIANA NASI

Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Wizara ya Afya

Mji wa Serikali - Mtumba,

S.L.P. 743,

40478 DODOMA.

+255-22-2342000/5

ps@afya.go.tz

Call Center: 199 | *199#